Pages

Monday

AJALI YA BASI ITALIA YA UA WATU 30



3 
Imeripotiwa kwamba ni zaidi ya watu 35 waliopoteza maisha baada ya bus walilokuwemo kupata ajali Kusini kwa Italia July 28 2013 ambapo waliofariki ni pamoja na watoto, majeruhi 11.


Basi hili lililokua na abiria waliotoka kwenye shughuli ya kanisa liliacha njia na kutoka nje ya daraja, chanzo bado hakijajulikana ila hii ajali imesababisha ajali ya magari mengine 10 yakiwemo madogo, mojawapo ni hilo hapo juu.
Hata hivyo ripoti mbalimbali zinasema huenda idadi ya vifo ikawa ni zaidi ya 36 iliyotajwa mwanzoni.
2
5
1
The coach lies in a ravine after plunging off a viaduct near Avellino.


BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments:

Post a Comment