Hii ni group yawatu wawili wanao fanya kazi za graphics.Baadhi ya kazi zetu ni Kazi ni kama ku design mabango ainazote ads za blogs na websites pia tupo vizuri ku design logos mbalimbali ziki wamo za T-shirts pia tuna husika katika ku tengeneza vipeperushi mbalimbali.Tuna weza tukaku tengeneze blogs mfano kama hii bongo news,wamala blogs na nyingine ambazo bado tuna endelea kuzi tengeneza
.
HIZI NI BAADHI YA KAZI ZETU AMBAZO NYINGINE TUTA ENDELEA KUWA WEKEA HAPA.
BONGO NEWS 4 NEWS#
No comments:
Post a Comment