CHEKI MAPOKEZI YA POKELLON ALIPO REJEA NCHINI KWAO..
Baada ya kuwa evicted na kuaga rasmi shindano la Big brother the
chase,Qeen of swag Pokello Nare kutoka nchini Zimbabwe hatimaye atua
rasmi kwenye ardhi ya nchini kwao na kupata mapokezi ya nguvu katika
uwanja wa ndege wa kimataifa Harare.
Mapokezi yakiongozwa na fans wake (team Pokello),familia na aliyekuwa
mshiriki mwenzake kutoka Zimbamwe Hakeem Mandaza, Pokello alishindwa
kuzuia machozi kwa sapoti walioonesha uwanjani hapo. Pia mtoto wake
Gerald (10) alikuwa mmoja wa waliojitokeza ku show love. Baadae
alielekea hotelini na gari nyeupe ya kifahari,cheki picha chini
zikionyesha mapokezi hayo.
No comments:
Post a Comment