
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Ofisa Kadet D.G.L. Wong- Pool
toka Visiwa vya Ushelisheli kwa kuibuka mwanafunzi bora wa kigeni wa
jumla mwaka huu katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli,
Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo Julai 13.
Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na
kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa
vya Shelisheli
No comments:
Post a Comment