Pages

Monday

LULU : LEO NGUO ALIZOVAA PAMOJA NA UMBO VIMEMPAGAWISHA PRODUCER WA VIDEO ZA MUZIKI BONGO '(NISHEER BAYBE)

Producer wa video za muziki Tanzanzia kutoka Arusha, Nisher, leo hii ameamua kumwaga sifa za kutosha kwa muigizaji Elizabeth Michael (Lulu), kupitia mtandao wa Instagram.Nisher amesifia baadhi ya viungo vya mwili vya dada huyo, kama zegembe, miguu, macho pamoja na smile yake.
 

Kwa muda mfupi tangu alipoingia kwenye utengenezaji wa video, Nisher amefanikiwa kutoa video kali kama "Mama yeyo" ya G Nako feat Ben Pol pamoja na "Jikubali" ya Ben Pol ambayo imefanikiwa kuchezwa kupitia kituo cha Televishen cha South Afrika "Channel o"





BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments:

Post a Comment