Pages

Thursday

PICHA; MAJANGA YA WEMA NA MASHABIKI WAKE KUTOKA INSTAGRAM


Ama kweli ustaa kazi! Mrembo Wema Sepetu kakumbwa na kasheshe kutoka kwa mashabiki wake baada ya kutupia picha instagram akiwa kapozi na wengine kuanza kumlaumu kutokana na mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Japo alijitetea na kusema picha hizi alipiga kabla ya mwezi huu wengine hata hawakumuelewa! Cheki hapo chini..



Hizo ni picha alizoweka Wema kupitia akaunti yake ya instagram hapo chini..


 Hivi ndivyo ilivyokuwa..

Ikafikia hatua wengine wakamlaumu Mrembo huyu kuwa bwana Diamond amabaye kumbukumbu zinaonesha walifikia mpaka hatua ya kuvishana pete ya uchumba..
Kweli umaarufu kazi na unahitaji uvumilivu wa hali wa hali ya juuBONGO NEWS 4 NEWS#

No comments:

Post a Comment