Waislamu wote duniani hii leo wame ungana na wenzao kuu anza moja ya nguzo kuu zadini hiyo ambayo niku funga mwezi mtukufu wa ramadhani.Katika iada hiyo wa islamu wana husiwa kuwa wakarimu na wenye ku nyenyekea kwa mwenyezimungu pia kuzidisha ibada na hata kusaidia masikini na wasio jiweza.
TUNA WA TAKIA RAMADAN KAREEM
No comments:
Post a Comment