RICK ROSS AMEZUNGUMZIA SUALA LA DJ KHALED KUTAKA KUMUOA NICK MINAJ...!! SOMA HAPA
Kufuatia kitendo cha
DJ Khaleed kutangaza hisia zake kwa mwanadada Nicki Minaj pamoja na
kumtumia maombi kumuoa kwa njia ya TV, Tukio ambalo limetokea kuwa gumzo
kila kona, Rapa Rick Ross amemua katika mstari wa mbele kabisa kutoka
orodha ya watu maarufu kutoa maoni yake juu ya tukio hili zima.
Ross katika interview
ambayo amefanya hivi karibuni amesema kuwa, Kwa jinsi alivyoona tukio,
Tofauti na wengi... yeye anaona kuwa Dj Khaleed yupo serious na hatanii
na hii ni kutokana na gharama za pete ambayo Dj huyu ameinunua na
kuionyesha kwa watu pia katika ujumbe wake kwa Nicki.
Gharama ya pete hii unakadiriwa kuwa dola laki tano ambayo inazidi shilingi milioni 800 za kitanzania.
Hii ndiyo quote ya maneno aliyosema Rick Ross; "I
see that it's not planned, but I'm reading the small description
underneath and it says he has a ring from Rafaello & Co, if I'm
reading that correctly, that's valued at about a half a million dollars.
If you spend a half a million dollars, you're dead a** serious. ...
That's been my brother. I know he's been infatuated with Nicki. I guess
we all just gotta sit back and wait."BONGO NEWS 4 NEWS#
No comments:
Post a Comment