BABA YAKE BOB JUNIOR AFANYA SHOO YA KUFA MTU NCHINI FINLAND
Bob
Junior ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva lakini kipaji hicho ni kama
amerithi kutoka kwa baba yake mzazi Mr. B Rummy Nanji ambaye pia ni
mwanamuziki maarufu akifanya kazi zake ulaya. Weekend
iliyopita mdingi wa Bob Junior ali-perform nchini Finland kama
anavyoonekana pichani hapo chini akifanya makamuzi ya kufa mtu.
No comments:
Post a Comment