Leo kupitia kwa mwanadada Yobnesh Yussuph almaarufu kama Batuli
tumeweza kupata jambo moja ambalo watu wengi watakuwa hawajawai
kulisikia kuhusu marehemu Steven kanumba.
Mwanadada huyo leo alienda kutembelea kituo kimoja cha watoto yatima kilichopo huku maeneo ya Bunju jijiji Dar es Salaam.
Merehemu Steven Kanumba alikuwa ni mmoja wa walezi wa kituo cha watoto yatima kimoja kilichopo huko bunju chenye Zaidi ya watoto (92) wakiwema wa kike (40) wa kiume hamsini na mbili (52). Kituo hiki kilianzishwa mwaka 2000 kikiwa na watoto wawili na kusajiliwa rasmi mwaka 2006 na kipo chini ya usimamizi wa dada Halima mseta.
Mlezi wa kituo hicho alisema bofya >>>>>>hapa <<<<< kusoma zaidi

No comments:
Post a Comment