Pages

Friday

MATEJA WALIZINGIRA DUKA LA MAIMARTHA JESSE.


MWANADADA mwenye jina katika fani ya utangazaji Bongo, Maimartha Jesse amelalamikia kitendo cha vijana wanaotumia madawa ya kulevya ‘mateja’ kulizingira duka lake lililopo Kinondoni Manyanya, jijini Dar.
Maimartha Jesse.
Maimartha ameliambia Ijumaa juzikati kuwa, mateja  hao wamekuwa wakimuathiri sana kwenye biashara yake hiyo na kila njia aliyoitumia kuwaondoka imeshindikana.
 
“Hawa mateja wananiharibia sana biashara yangu, wateja wanashindwa kuja kununua vitu wakiwahofia, yaani wananisabashia hasara kubwa na baadhi ya watu wanadhani na mimi nawauzia ‘unga’ ndiyo maana nawakumbatia kumbe wala,” alisema Maimartha
HABARI KWA MSAADA WA GLOBAL PUBLISHERS..

BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments:

Post a Comment