MSANII SIR JUMA NATURE KUMBE ANA KAMPUNI?! HEBU CHEKI HAPA
Inakuaje watu wangu mko poa tunatoa shukrani
kwa watu wetu wote waliochangia chama kwa kununua t-shirt zetu ambazo tunatengeneza wenyewe kwenye kampuni yetu but huo hapo ni mzigo mpya
tumeudondosha so kwa ambae bado anaweza kujisogeza kwenye duka letu au
kwa mawasiliano zaidi kwa anae hitaji no +255 718 313258 na +255 715 138 467
BONGO NEWS 4 NEWS#
No comments:
Post a Comment