Pages

Friday

Mshindi wa nyumba wa promosheni ya Airtel yatosha akabidhiwa nyumba yake

Bw Silvanus Juma Wanga,akabidhiwa rasmi jana nyumba ya kwanza ya Airtel Yatosha,Nyumba ya kwanza ndo hiyo imeenda,Bado nyingine mbili kushindaniwa,nani atashinda zilizobaki? inawezekana ikawa wewe, ndugu yako au mshikaji...Endelea kujiunga na kifurushi chako cha Yatosha.Piga *149*99# Uingie moja kwa moja kwenye droo.airtel Yatosha na Bado.
Pichani:Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallaya akimkabidhi ufunguo wa nyumba mshindi wa kwanza wa nyumba ya promosheni ya Airtel Yatosha Bw.Silvanus Juma katika halfa iliyofanyika jana Kigamboni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment