MWANAMKE ACHOMA RANGE ROVER SPORT YA BOYFRIEND WAKE KISA CONDOM.
Wivu noma sana , Dada mmoja huko Mbezi amelitia Kiberiti Gari la mpenzi
wake aina ya Range Rover Jipyaaa Baada ya kukuta Condom iliyotumika
kwenye gari hilo , Mashahidi wanasema wakati analiwasha moto alikuwa
akisema kuwa hilo gari ndio linakutia kiburi mpaka kutembea na wanawake
zako ndani ya gari , tuone sasa ukitaka katembee nao vichakani....
Whats your take ?
BONGO NEWS 4 NEWS#
No comments:
Post a Comment