Moto mkubwa unaripotiwa kuzuka asubuhi hii katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyetta (JKIA) jijini Nairobi.
Chanzo
cha moto huo bado hakijatambulika na juhudi za kuuzima zinaendelea,
ambapo vikosi mbalimbali vya zimamoto vipo uwanjani hapo kuthibiti janga
hilo.
Uwanja huo hivi sasa umefungwa na hakuna ndege kutua ama kuruka isipokuwa kwa dharura tu.

Tayari moto
umesha kwishazimwa na Rais wa nchi hiyo, Jomo Kenyatta amekwishafika eneo la
tukio kukagua hali halisi ilivyo, Kwa sasa Uwanja wa ndege wa Mombasa
ndio unatumika kwa kusaidia kuendeleza shughuli za kuwasili kwa ndege
nchini humo.
BONGO NEWS 4 NEWS#
No comments:
Post a Comment