Pages

Wednesday

MARAISI WAJIPIMA KWA KUTUMIA MPIRA WA MAAJABU..

Raisi wa Marekani,Barack obama na mwenyeji wake , raisi Jakaya mrisho kikwete.Wali onesha umahiri wao waku sakata ka bumbu lakini kwa kutumia mpira usio kua wa kawaida.
RAISI WA MAREKANI AKI PIGA DANDANA.

  Viongozi hao walikua kivutio katika eneo la mitambo yaku fulia umeme wa kampuni ya Symbion wa marekani.

 Raisi Obama ali tembelea mtambo huo ulio kua eneo la Ubungo,Dare es salaam, ambako alitangza mpango waku sambaza umeme nchi mbalimbali za Africa unao itwa POWER AFRICA.
 Viongozi hao wali onyeshwa mpira huo ambao upo sawa na ile inayo tumika kwenye mechi za soka lakini una tumika kama chaja ya simu na umeme.
 Mpira huo unao fanya kazi vi zuri baada yaku chezewa,Uli gunduliwa na wana funzi wa wili wa chuo cha Harvad nchini Marekani.
 Raisi Obama ndiye alie kua wa kwanza kuu uchukua mpira huo naku urusha juu nakuudaka halafu aka u rusha tena juu naku udunda kwa kichwa mara kadhaa.
 Baadae ali toa  pasi kwa Raisi Kikwete.,ambae ali toa pasi kwa Obama naku pasiana kwa muda.
 Raisis Obama ali ulizia bei ya mpira huo naku taka kujua nguvu ya umeme inayo tolewa na mpira ule.
  "Kuna chombo ndani chaku zalisha umeme.Kadiri mpira huu unavyo pigwa ndio nguvu zaidi huzalishwa kuli ngana na betry," alisema mmoja wa viongozi wa Symbian wakati akitoa maelekezo kwa maraisi hao Kikwete na Obama.
  Hata hivyo,mpira huo ukichezwa kwa dakika thela thini (30) basi unakua na nguvu yaku fanya kazi yaku chaji.
 Raisi Obama alisema uga waji wa mipira ni sehemu yaya mpango wake waku sambaza umeme barani Africa.
  

HABARI KWA MSAADA WA MWANANCHI

No comments:

Post a Comment