Pages

Wednesday

FBI WALIVYO KAGUA OFISI YA KOVA KWA MBWA

Ofisa mmoja wa usalama wa marekani (FBI),akiwa na mbwa ali ingia makao makuu ya polisi kanda maalumu ya Dare es salamnaku fanya ukaguzi.
KAMANDA KOVA..

 Tukio hilo lilitokea muda mfupi kabla ya msafara wa magari ya marekani kupita yaki tokea ikulu kwenda uwanja wa taifa wa mwalimu Julius kumlaki raisi Obama.

 Polisi ambae hakutaka kutajwa alisema ofisa huyo ali ingia na mbwa hadi maeneo ya mapokezi,lakini muda mfupi walitoka.
 "Walikwenda moja kwa moja mapokezi waka fanya ukaguzi,kisha wakatoka nje ya jengo na kama hiyo haitoshi, ofisa huyo akiwa na mbwa alikwenda sehemu yaku egeshea magari yenye kesi na yale ya kawaida  naku anza ku fanya uka guzi,baada ya hapo wali ondoka," alisema polisi huyo naku ongeza:
 "Licha ya mimi kutokua na cheo pale,lakini hili lakutukagua na mbwa,ni kama wame tu dhalilisha...sisi ndio tuna aminika kwa usalama,leo hii wana tu kagua na mbwa.Tena kituo ki kuu."
 Hata hivyo, usalama kwenye vituo vingi ikiwamo uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere, vilikua chini ya usimamizi na uangalizi wa makachero wa Marekani. 

No comments:

Post a Comment