Kupitia
Kipindi cha Redio cha clouds fm U heard ya jana, inasemekana msanii Mr
Blue amrubuni mfanya usafi wa hoteli inayoitwa Chriss, iliyoko
Tarime, baada ya kuzuiwa kwa mabegi yake kwa kushindwa kulipa deni la
shilingi elfu 40,000, inasemekana Mr Blue aliamua kucheza dili na
mfanya usafi ili aende akamtolee mabegi yake na kumpa mtonyo kidogo,
ambae alifanya hivyo na Blue kufanikiwa kuondoka bila kulipa deni
hilo, kitu kilichosababisha mfanya usafi huyo kufukuzwa kazi.....
No comments:
Post a Comment