![]() |
RAISI WA MAREKANI MH.BARACK OBAMA AKI KAGUA GWARIDE BAADA YAKU TUA TANZANI HIYO JANA. |
Mh.Barack Obama alisema kua moja ya nia ya ziara yake hapa nchini nikueneza uhusiano mzuri na nchi yake napia aka taja vipau mbele vya nchi yake ya marekani hapa nchini.Vipau mbele hivo niku weza kuinua ajira kwa vijana,Kuboresha ni shati kama umeme, Maji napia miundo mbinu ya barabara.Alisema ali ainisha hayo walipo kua waki ongea na mwenyeji.Pia wali gusia mradi mkubwa wa POWER AFRICA ulio na lengo laku ongeza kiwango cha umeme kinacho zalishwa hapa Africa napia kuongeza uzalishaji ukiwamo wa ajira.
Naku taja nchi zingine zitakazo nufaika na mradi huu kua nia Ghana,Nigeria,Ethiopia,Liberia na Kenya.
waliongelea masuala mengi ikiwamo kukuza democrasia na utawala bora.
Pia wali gusia secta ya utalii naku sema kua Tanzania ni nchi yenye sehemunyingi za utalii ila aka sema kua ame ambiwa ina kabiliwa na ujangili hivyo wata ongeza nguvu ili ku utokomeza ujangili huo.
Raisi wa Tanzania alisema kua malengo ya milenia yame isaidia sana Tanzania.
No comments:
Post a Comment