Jose Mourinho anaendela kufanya vizuri katika ligi kuu ya England baada ya kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Aston VIlla.
Mourinho katika mazungumzo na waandishi alisema ana uhakika Chelsea itaendelea kufanya vizuri katika msimu huu na kufanikisha kuchukua ubingwa.
Mourinho anafahamu Chelsea ilibahatika.Wameshinda wakati Branislav Ivanovic, ambaye angepewa kadi nyekundu kiulaini kwa kumchezea rafu Benteke, kufunga bao la ushindi.
Luna alitangulia kuifungia Chelsea dakika ya saba kabla ya Benteke kusawazisha dakika ya 45 na Ivanovic akafunga la ushindi dakika ya 73.
Kikosi cha Chelsea kilikuwa:Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Cole, Ramires, Lampard, Oscar/Van Ginkel dk84, Mata/Schurrle dk65, Hazard na Ba/Lukaku dk65.
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments:
Post a Comment