Rais Robert Mugabe (89)anategemewa
kuapisha leo mjini Harare ili kuendelea kutumikia nafasi hiyo kwa
kipindi kingine cha miaka mitano.
Sherehe hizo zinatarajiwa kuhudhuriwa na wakuu wa nchi 30, akiwemo Rais wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa.
Akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Harare, Benjamin Mkapa alisema “ushindi wa kishindo wa Rais Mugabe unadhihirisha kuwa wananchi wa Zimbabwe wana imani kubwa na Rais wao na ni lazima uamuzi wao uheshimiwe ili kuwapa nafasi Wazimbabwe kujenga nchi yao.”
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments:
Post a Comment