Klabu ya Chelsea ya England imekubaliana bei ya £30m na Anzhi Makhachkala kwa ajili ya kumsajili kiungo wa kibrazil Willian.

Kwa
mujibu wa mtandao wa BBC - Chelsea wameweza kuipokonya tonge mdomoni
Tottenham ambayo tayari ilishamfanyia vipimo kiungo mshambuliaji huyo.
Kilichobakia
sasa ni kibali cha kazi tu kwa ajili ya Willian kuanza kukipiga katika
kikosi cha Chelsea - akitegemewa kusaini mkataba wa miaka 5 wa
kuitumikia timu hiyo inayomilikiwa na Mrusi Roman Abramovich.
BONGO NEWS 4 NEWS#
No comments:
Post a Comment