Filamu ya witch doctor kutoka Swahilihood.
Kyaka maarufu kama Odama ambaye amekuwa akifanya vizuri katika tasnia ya filamu, kwa kupitia kampuni yake ya J- Film 4 Life.
. Filamu ya Witch Doctor imewashirikisha wasanii nyota Swahilihood wakali wa kuigiza kama vile Haji adam ‘Baba Haji’, Stanley Msungu ‘Senetor’, Hamis Korongo ‘Mzee Korongo’, Idrisa Makupa ‘Kupa’, Jenifer Kyaka ‘Odama’ na wasanii wengine wakali katika tasnia ya filamu Swahilihood.
Filamu ya Witch doctor imeingia Sokoni siku ya jumanne tarehe 13/08/2013 kazi hiyo inasambazwa na kampuni ya Steps Entertainment na inapatikana nchi nzima katika Dvd maduka yote yanayouza filamu za kitanzania.
CREDIT:SWAHILIHOOD.CO.TZ
BONGO NEWS 4 NEWS#
No comments:
Post a Comment