
Mkali wa Bongo Fleva kutoka kundi la Tip Top Conection Madee
ametembelea kaburi la mwanamuziki mwenzake Albert Mangwea aliyefariki
dunia Mei mwaka huu Mjini Morogoro.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mwanamuziki toka mkoani
Morogoro Mwanaisha Nyange 'Dyna' kufanya hivyo siku chache zilizopita
ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Madee alikuwa kwenye show mjini Morogoror katika ukumbi wa Nyumbani
Park, ndipo baada ya kumaliza show yake, aliamua kutembelea na kufanya
ibada katika kaburi la…

Mkali
wa Bongo Fleva kutoka kundi la Tip Top Conection Madee ametembelea
kaburi la mwanamuziki mwenzake Albert Mangwea aliyefariki dunia Mei
mwaka huu Mjini Morogoro.

Hatua
hiyo imekuja siku chache baada ya mwanamuziki toka mkoani Morogoro
Mwanaisha Nyange 'Dyna' kufanya hivyo siku chache zilizopita ndani ya
mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Madee alikuwa kwenye show mjini Morogoror katika ukumbi wa Nyumbani
Park, ndipo baada ya kumaliza show yake, aliamua kutembelea na kufanya
ibada katika kaburi la Mangwea.
No comments:
Post a Comment