Pages

Monday

DILISH AFURAHIA FEZA KU TOKA BIGBROTHER (BBA)

Mshiriki kutoka nchini Namibia Dillish ameonyesha kufurahia baada ya mshiriki kutoka Tanzania Feza Kessi kuyaaga mashindano hayo usiku wa Jumapili’.

Mshiriki pekee wa Afrika Mashariki aliyekuwa amebakia ndani ya mjengo wa Big Brother Afrika‘BBA’ Feza Kessi ameyaaga mashindano hayo jana usiku Jumapili(August 11)baada ya kupigiwa kura nyingi za kutoka.

Kamera za BBA zilimuonyesha Dillish akifurahia baada ya Feza kutoka nje ya mjengo huyo wakati akihojiwa na mtangazaji wa shindano hilo IK.
Ambapo Dillish alinyanyua mikono yake juu na kusema kwa sauti ‘Yes! Feza Out! Thanks God!’alisikika mshiriki huyo wa Namibia akifurahia kwani Feza ndiye aliyeoneka kuwa na upinzani mkubwa kwa washiriki waliobaki kwenye shindano…
Feza alifanikiwa kudumu ndani ya mjengo huo takribani kwa siku 77 amekuwa mshiriki wa 20 kuyaaga mashindano hayo huku akiwaacha wenzake alikuwa nao danger zone,Dillish na Cleo wakiwa salama.
Nguvu ya ushindi wa Feza ilipungua tangu mchumba wake mshiriki kutoka nchini Botswana Oneil kutoka ndani ya mjengo huo wiki iliyopita.
Baada ya Feza kutolewa The Chase sasa atakuwa ameungana na washiriki wengine wa…
Mshiriki pekee wa Afrika Mashariki aliyekuwa amebakia ndani ya mjengo wa Big Brother Afrika‘BBA’ Feza Kessi ameyaaga mashindano hayo jana usiku Jumapili(August 11)baada ya kupigiwa kura nyingi za kutoka.
Feza alifanikiwa kudumu ndani ya mjengo huo takribani kwa siku 77 amekuwa mshiriki wa 20 kuyaaga mashindano hayo huku akiwaacha wenzake alikuwa nao danger zone,Dillish na Cleo wakiwa salama.
Nguvu ya ushindi wa Feza ilipungua tangu mchumba wake mshiriki kutoka nchini Botswana Oneil kutoka ndani ya mjengo huo wiki iliyopita.
Baada ya Feza kutolewa The Chase sasa atakuwa ameungana na washiriki wengine wa Afrika Mashariki kutoka nchini Kenya na Uganda.
Nchi ambayo imebakisha washiriki wawili ni Nigeria pekee ambao ni Beverly na Melvin ambao ni miongoni mwa washiriki 7 walisalia huku zikiwa zimebaki takribani wiki mbili shindano hilo liishe na mshindi kujinyakulia kitita cha $300,000 za Big Brother‘The Chase’.
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments:

Post a Comment