MIDUME YAJITOKEZA KUTAKA KUMUOA RAY C.
Siku chache baada ya kupona madhara ya matumizi ya madawa ya kulevya
‘unga’ midume kibao imejitokeza kuwania kumuoa staa mkubwa wa muziki wa
Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’.
Ishu
hiyo ilianza tangu mwanadada huyo maarufu kama Kiuno Bila Mfupa
alipohojiwa kupitia CloudsTV ambapo alieleza jinsi alivyofiti kiafya.
“Unajua tangu aliposema anamshukuru Mungu kumuepusha na shetani wa madawa ya kulevya, wanaume kibao wamekuwa wakimfuatilia wakitangaza dau la kumuoa.
“Unajua tangu aliposema anamshukuru Mungu kumuepusha na shetani wa madawa ya kulevya, wanaume kibao wamekuwa wakimfuatilia wakitangaza dau la kumuoa.

“Kama hamuamini fuatilieni akaunti yake kwenye Instagram (mtandao) muone. Kila akiweka picha mpya kwa ajili ya mashabiki wake kinachofuata ni maombi ya wanaume wanaomsifia kuwa ni mzuri.
“Yaani wanaume wanamwaga ahadi kibao kama kumjengea mjengo wa kifahari, kumnunulia magari, kila mmoja akimhakikishia maisha bora katika ndoa,” kilisema chanzo chetu.Chanzo chetu kilipoperuzi kwenye akaunti hiyo ya Ray C na kukutana na maombi hayo ya wanamme.Katika mahojiano yake na CloudsTV, Ray C alisema kwa sasa hawazi kitu kingine tofauti na kurudi kwanza kwenye muziki kwa kishindo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**

Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
MUZIKI ni kazi, mataifa mengi, hususan katika mabara ya Ulaya na Amerika Kaskazini, ume...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
No comments :
Post a Comment