Pages

Tuesday

Muonekano Utakao Tumika Na Bob Junior Kwenye Show Za Mwaka 2013


Bonyeza ReadMore Kuona Picha Zingine


Ameandika Kwenye Facebook page yake kuwa " Huuu Ni Muonekano Wangu Mpya Kwa Showzz Zanguu Zotee 2013 Vipi Jamani Imekaa Sawaa!!!!

Leo Bob Junior ameniambia kuwa sababu za kubadilisha muonekano wake ni kuwa,

1] Anataka Atambulike kama Msanii Kutoka Africa anapokuwa kwenye jukwa lolote Duniani.

2] Kili Music Tour anayofanya sasa ina kauli Ya Kili Music Tour Kikwetu Kwetu So Ni Vizuri Awe Na Muonekano Huo.

3] Pia kuonyesha wasanii wengine kuwa ni kawaida kuwa na muonekano wa nyumbani na bado ukapendeza tu.

Fahamu Nguo Hizi Amebuni mwenyewe.
Bob Junior Akiwa Na Dancers Wake
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments:

Post a Comment