
Nigeria
itacheza michuano ya kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17 mwezi wa
10 mwaka huu baada ya wachezaji wake muhimu kufeli kipimo cha kutambua
umri sahihi.
Kikosi cha Nigeria, ambacho kilimaliza katika nafasi ya pili kwenye
michuano ya mataifa huru ya Afrika 2013 nchini Morocco, kilifanyiwa
vipimo vya MRI jijini Abuja ili kuweza kupata ukweli kwamba wana umri wa
miaka 17 kuelekea michuano ya kombe la dunia kwa vijana wa umri
itakayofanyika mwezi wa 10 huko Uarabuni UAE.
Kufuatia
tukio hilo, kocha wa Nigeria Manu Garba, amesisitiza bado ana kikosi
kizuri cha kwenda kushindana pamoja na kuwapoteza muhimu waliofeli
vipimo hivyo.
No comments:
Post a Comment