
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake chafu akiwa na wasichana wanaodaiwa ni wasanii wa filamu kusambaa mitandaoni huku wachangiaji wakisema ni udhalilishaji uliopitiliza, Risasi Jumamosi limezinasa.

Baadhi ya picha zinamuonesha prodyuza huyo akiwa na msanii mmoja, tangu ana nguo zake zote kisha kuanza kuzivua moja baada ya nyingine hadi kubaki kama alivyozaliwa.

Kumbukumbu za nyuma zinaibua mahojiano kati ya prodyuza huyo na mtangazaji wa redio moja ya jijini Dar, akiulizwa kuhusu taarifa kwamba amekuwa na tabia ya kupiga picha chafu ambapo majibu yake yalikuwa yakijigongagonga.

“Mi sijui lolote bwana, wala sijaziona kwanza.”

Manaiki: Kwani zimetapakaa kwenye mtandao gani?”
Alipotajiwa jina la mtandao mmoja tu kati ya mingi yenye picha hizo, prodyuza huyo alisema anamfahamu mmiliki wake hivyo atampigia simu muda si mrefu.






BONGO NEWS 4 NEWS#
No comments:
Post a Comment