Msanii wa
muziki wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia kwenye jukwaa la tamasha la
Serengeti Fiesta 2013,kwenu uwanja wa Lake Tanganyika.
Sehemu ya
umati wa watu waliofurika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika wakiburudika
na Wasanii wa Serengeti Fiesta 2013
Burudani ya
kutosha kabisa
Hapatoshi
ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika usiku huu.
Mwanamuziki
mahiri wa muziki wa Dansi,Christian Bella akikamua jukwaani usiku huu ndani ya
uwanja wa Lake Tanganyika,mkaoni Kigoma ambapo watu wamefurika ile mbaya.
Msanii wa
muziki wa kizazi kipya Cassim Mganga akiimba jukwaani mbele ya maelfu ya wakazi
wa Kigoma ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika.
Msaniii
anekuja kwa kasi kwenye miondoko ya Hip Hop,Stamina akikamua jukwaani mbele ya
maelfu ya wakazi wa mji wa Kigoma waliojitokeza kwenye tamasha la Serengeti
Fiesta
Ni Shangwe
tu ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma wakati tamasha la Serengeti
Fiesta likiendelea
Yaani
hapatoshi kabisa,wakazi wa Kigoma wamecharuka na burudani murua kabisa ya
tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Msanii wa muziki
wa kizazi kipya Rachael kutoka THT,akionesha umahiri wake wa kutumbuiza
jukwaani kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Washabiki wa
tamasha la Fiesta wakifuatilia kwa makini yanayojiri ndani y uwanja wa Lake
Tanganyika mkoani Kigoma.
Wadau nao
wamejitokeza kwa wingi
Peter Msechu na
densa wake wakikamua vilivyo usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Pichani ni msanii
wa bongofleva akulikanae kwa jina la Shilole na madansa wake wakiwachengua
vilivyo wakazi wa Kigoma,waliojitokeza
BONGO NEWS 4 NEWS#
No comments:
Post a Comment