Rihanna ameuangana na wananchi wengine wa nchi mwake Barbados
kufurahia tamasha la kila mwaka la Crop Over Carnival. Akiwa amevalia
mavazi kama wanawake wa Kizulu wa nchini Afrika Kusini, Riri alionekana
mwenye furaha na kwenye picha moja wapo aliyopost kwenye Instagram,
aliandika kuwa anaipenda nchi yake.











No comments:
Post a Comment