![]() | ||||
Ireen uwoya na AyParadise ambayo ni Tv show mpya ya actress Irene Uwoya itakayoanza kurushwa leo usiku Clouds Tv licha ya kuwa inahusika na ukarabati wa nyumba za watu zilizo katika hali mbaya lakini mastaa mbalimbali hasa wa burudani watakuwa wakionekana katika kipindi hicho ili kuleta ladha zaidi na baadhi yao ambao wataanza kuonekana ni hawa hapa chini wakiwa katika utengenezaji wa kipindi hicho...............................
Jacob Stephen(JB)
Steve Nyerere
No comments:
Post a Comment