Pages

Monday

RAY C AKERWA NA UMBO LAKE LILIVYO BONGE

Msanii wa Bongo Fleva aliyekiri kutumia madawa ya kulevya na kuacha,Rehema Chalamila‘Ray C’ ameonyesha kukerwa na umbo lake la sasa baada ya kunenepa kupita kiasi hali iliyomfanya aombe msaada ili aweze kupungua.

Ray C ameomba msaada huo kwa msanii wa Bongo Muvi Salma Jabu ‘Nisha’kupitia mtandao wa instagram na kumwambia kuwa anaomba ampatie diet yake ili na yeye apungue ambapo msanii huyo alimwambia kuwa apunguze kula na afanye mazoezi.
‘Mie…

‘Mie mami ni mazoezi na nakula nimepunguza sana kula ni hivyo tu basi’’alisema Nisha akimwambia Ray C.
Ray C baada ya kupotea kwa muda mrefu alionekana kwa mara ya kwanza akiwa ameonekana kufutuka usoni, kifuani na mapajani ambapo awali kabla ya matatizo ya utumiaji wa madawa hayo hakuwa hivyo.
Msanii wa Bongo Fleva aliyekiri kutumia madawa ya kulevya na kuacha,Rehema Chalamila‘Ray C’ ameonyesha kukerwa na umbo lake la sasa baada ya kunenepa kupita kiasi hali iliyomfanya aombe msaada ili aweze kupungua. Ray C ameomba msaada huo kwa msanii wa Bongo Muvi Salma Jabu ‘Nisha’kupitia mtandao wa instagram na kumwambia kuwa anaomba ampatie diet yake ili na yeye apungue ambapo msanii huyo alimwambia kuwa apunguze kula na afanye mazoezi.
‘Mie mami ni mazoezi na nakula nimepunguza sana kula ni hivyo tu basi’’alisema Nisha akimwambia Ray C.
Ray C baada ya kupotea kwa muda mrefu alionekana kwa mara ya kwanza akiwa ameonekana kufutuka usoni, kifuani na mapajani ambapo awali kabla ya matatizo ya utumiaji wa madawa hayo hakuwa hivyo.

BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments:

Post a Comment