Pages

Friday

UKWELI KUHUSU WANA WAKE WENYE MWANYA AU KIDOTI

Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ndevu ama ki alama cheusi chini ya pua maarufu kama Kidoti huwa  wanawavutia sana Wanaume Smart kutokana na imani kwamba wanawake hao huwa wanabahati katika maisha kwa asilimia kubwa huwa wana maisha mazuri na pia mwonekaono wao huwavutia wanaume walio wengi sana na mimi nikiwa mmoja wapo:wewe wavutiwa?                                                       Credit: Bossngasa.com

BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments:

Post a Comment