Pages

Sunday

BAADA YA MIAKA 37 (2050) DUNIA YETU ITAKUWA HIVI....



Hili ni Swali ambalo kila Mtu anapaswa kujiuliza Moyoni Mwake! Ukweli ni kwamba kwa wenzetu si kama tunavyofikiri, wameshatengeneza au kubuni dunia ya mwaka 2050 itakavyo kuwa, na itakuwa ni Dunia ya ajabu iliyojawa na maajabu ya wanadamu  watakao kuwepo wakati huo. Utafiti wetu unaonyesha kwamba Kampuni Ya MICROSOFT imeshandaa mpango huo na wameupa jina la  Microsoft 2050 target technology.


MICROSOFT 2050 TARGET TECHNOLOGY
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments:

Post a Comment