Pages

Tuesday

Ice Prince live mjengoni BBA leo,Big awa suprize washiriki.


Habari na Mamu Afriba Blog
Msanii Ice Prince kutoka nchini Nigeria leo ameingia kwenye jumba la Big Brother Africa na kukutana na washiriki waliobakia kwenye jumba hilo.
Kuingia kwa Ice Prince kwenye jumba hilo ilikuwa ni suprize kwa washiriki hao baada ya big kuwaambia kuna suprize na lango lilipofunguliwa wakakutana na msanii huyo wa Nigeria ambaye aliwapatia tshirt na makoti ambayo mgongoni yameandikwa Celebrating 50 years of African Unity.

Ice Prince amezungumza mengi na washiriki hao lakini pia waka share pamoja hali ya umaskini iliyopo kwenye bara la Africa.


Washiriki wakivaa tshirt walizopewa na Ice Prince
Ice Prince akisisitiza jambo kwa washiriki

Umakini kwa washiriki ulihusika
Melvin akiwa ametupia tshirt walizopewa na Ice Prince

BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments:

Post a Comment