Ice Prince live mjengoni BBA leo,Big awa suprize washiriki.
Habari na Mamu Afriba Blog
Msanii Ice Prince kutoka nchini Nigeria leo ameingia kwenye jumba la Big
Brother Africa na kukutana na washiriki waliobakia kwenye jumba hilo.
Kuingia kwa Ice Prince kwenye jumba hilo ilikuwa ni suprize kwa washiriki hao baada ya big kuwaambia kuna suprize na lango lilipofunguliwa wakakutana na msanii huyo wa Nigeria ambaye aliwapatia tshirt na makoti ambayo mgongoni yameandikwa Celebrating 50 years of African Unity.
Ice Prince amezungumza mengi na washiriki hao lakini pia waka share pamoja hali ya umaskini iliyopo kwenye bara la Africa.

![]() |
Washiriki wakivaa tshirt walizopewa na Ice Prince |
![]() |
Ice Prince akisisitiza jambo kwa washiriki |
![]() |
Umakini kwa washiriki ulihusika |
![]() |
Melvin akiwa ametupia tshirt walizopewa na Ice Prince |

Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**

Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
MUZIKI ni kazi, mataifa mengi, hususan katika mabara ya Ulaya na Amerika Kaskazini, ume...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
No comments :
Post a Comment