
Msanii wa Hip Hop na mshindi wa tuzo 3 za KTMA,Kala Jeremiah baada ya kufanya vizuri katika wimbo wake wa 'Dear God' sasa anatarajia kutambuliza wimbo wake mpya unaofahamika kwa jina la 'Jaribu Kujiuliza' akiwa amemshirikisha msanii wa band ya Skylight 'Mary Lucos'
Kwa hiyo wale mashabiki wa Kala Jeremiah kaeni tayari kwa ujio mpya wa ngoma yake 'Jaribu Kujiuliza' inayotarajiwa kutambulishwa rasmi katika vituo mbalimbali tarehe 14/8/2013 Jumatano Ijayo.
No comments:
Post a Comment