Kutokana na Kuanza kwa mwezi
mtukufu wa Ramadhan, Azam Marine & Kilimanjaro Fast Ferries Imeamua
kuongeza safari kwenye ratiba yake.. Kwa mwezi mzima safari zitakua mida
ifuatayo:
DAR kwenda Zanzibar:
0700 HRS (Moja asubuhi)
0930 HRS (Tatu na nusu asubuhi)
1230 HRS (Sita na nusu mchana)
1400 HRS (Nane mchana)
1545 HRS (Tumi kasorobo jioni)
Zanzibar kwenda DAR:
0700 HRS (Moja asubuhi)
0930 HRS (Tatu na nusu asubuhi)
1100 HRS (Saa tano asubuhi)
1230 HRS (Sita na nusu mchana)
1545 HRS (Kumi kasorobo jioni)
Tunapangilia na Safari za kwenda Pemba na tutatangaza ratiba hivi karibuni..
Pamoja na hayo kwa Kuona Umuhimu
Wa Mwezi Mtukufu, Azam Marine Imetenga nafasi kwenye eneo la offisi
kufanya sehemu ya kusalia abiria.. Hii huduma inapatikana upande wa DAR
pamoja na Zanzibar..
Ramadhan Kareem!!
Asanteni woote!!
BONGO NEWS 4 NEWS#