Pages

Friday

KILI MUSSIC TOUR KUKI NUKISHA MOSHI KESHO


Kampuni ya bia ya kili manjaro iki shirikiana na wasanii walio pokea tuzo za kazi zao bora kesho watakua ndani ya mji wamoshi kwenye viwanja vya ushirika.Wasanii watakao kuwapo ni pamoja na Diamond,Snurah(Majanga),Ben paul,Lady jayde,Profesa J,John makini,Kalla Jeremaya nawengine wengi show ita anza saa kumi jioni kwa kiingilio cha Tsh,2,500 huku uki pewa bia moja ya kilimanjaro mlangoni.

BUSINESS PARK (GREEN ACRES) YA MWAGWA USO WOTE CHINI.

 Business ama green acress hiyo jana ime mwagwa chini eneo lote la mbele.

BUSINESS PARK

Wednesday

MARAISI WAJIPIMA KWA KUTUMIA MPIRA WA MAAJABU..

Raisi wa Marekani,Barack obama na mwenyeji wake , raisi Jakaya mrisho kikwete.Wali onesha umahiri wao waku sakata ka bumbu lakini kwa kutumia mpira usio kua wa kawaida.
RAISI WA MAREKANI AKI PIGA DANDANA.

  Viongozi hao walikua kivutio katika eneo la mitambo yaku fulia umeme wa kampuni ya Symbion wa marekani.

FBI WALIVYO KAGUA OFISI YA KOVA KWA MBWA

Ofisa mmoja wa usalama wa marekani (FBI),akiwa na mbwa ali ingia makao makuu ya polisi kanda maalumu ya Dare es salamnaku fanya ukaguzi.
KAMANDA KOVA..

 Tukio hilo lilitokea muda mfupi kabla ya msafara wa magari ya marekani kupita yaki tokea ikulu kwenda uwanja wa taifa wa mwalimu Julius kumlaki raisi Obama.

Tuesday

OBAMA AELEZA VIPAUMBELE VYA MAREKANI TANZANIA.


RAISI WA MAREKANI MH.BARACK OBAMA AKI KAGUA GWARIDE BAADA YAKU TUA TANZANI HIYO JANA.
Raisi wa Marekani Mh.Barack Oba alitua nchini jana kumalizia ziara yake ya nchi tatu za Africa aliyo ianzaia nchini Senegal kisha nchini South Africa nakuja kumalizia hapa nchini Tanzani.Raisi huyo aliye pokelewa na mwenyeji wake raisi wa Tanzania Mh.Jakaya Kikwete ali elekea moja kwa moja ikulu na kwenda kuzungumza  na wa andishi wa habari juu ya ziara yake hapa nchini.