HII NDIO MISHAHARA MIPYA SERIKALINI 2013.
Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakimuudumia mgonjwa hospitalini hapo. Wafanyakazi wa sekta ya afya ni miongoni wa walio ongezewa mishahara na serikari katika bajeti ya mwaka wa fedha 2013/14. Picha na Maktaba
TAZAMA JINSI KAJALA MASANJA ALIVYO KWENYE ZIARA YAKE HUKO AFRICA KUSINI
Juzi
mwigizaji wa bongo movie Kajala aliondokoka nchini kuelekea Afrika ya
kusini kwa ajili ya safari binasfi ambayo pamoja na mambo mengine
alitembelea shue ya uigizaji ya AFDA (AFDA the South African School of
Motion Picture Medium and Live Performance) iliyopo nchini humo.
TAARIFA KAMILI KUHUSU ALLY KIBA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO AMSTADAM
Siku hizi Tanzania kumekua na mambo meeeengi yanayozushwa au kuanzia kwenye mitandao ya kijamii sanasana facebook na twitter ambapo miongoni mwa makubwa ya wiki hii ni stori kwamba mwimbaji wa Bongofleva Ally Kiba amekamatwa na polisi wa Amsterdam kwa tuhuma mbalimbali na wengine walidiriki kuripoti kwamba ni dawa za kulevya.Ally Kiba mwenyewe aliandika kwenye page yake ya twitter kama kukanusha lakini ni tweet ambayo haikuwa rahisi kuielewa au kufahamu alichomaanisha kama unavyoona hapa chini..
RICK ROSS AMEZUNGUMZIA SUALA LA DJ KHALED KUTAKA KUMUOA NICK MINAJ...!! SOMA HAPA
Kufuatia kitendo cha DJ Khaleed kutangaza hisia zake kwa mwanadada Nicki Minaj pamoja na kumtumia maombi kumuoa kwa njia ya TV, Tukio ambalo limetokea kuwa gumzo kila kona, Rapa Rick Ross amemua katika mstari wa mbele kabisa kutoka orodha ya watu maarufu kutoa maoni yake juu ya tukio hili zima.HII NDIO HISTORIA FUPI YA MAISHA YA MZEE SMALL
Early life
Said Ngamba au Mzee Small (amezaliwa mw. 1955) ni msanii wa maigizo na vichekesho kutoka nchini Tanzania. Huenda akawa anaaminika zaidi kuwa mmoja wa wasanii wakongwe kwa nchi ya Tanzania, hasa katika fani ya uchekeshaji ambayo sasa inachezwa zaidi na vijana.BREAKING NEWS: AUAWA KWA RISASI TEGETA
Wananchi wakibeba mwili wa marehemu baada ya kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Mwanaume
mmoja ambaye hakujulikana jina lake mara moja, muda mfupi uliopita
ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana eneo la Tegeta jijini
Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, wauaji
ni wanaume wawili waliokuwa katika pikipiki maarufu kama 'Bodaboda'.
Marehemu alikuwa akishuka katika gari lake aina ya Toyota Mark II yenye
namba za usajili T 508 ADY ndipo alipopigwa risasi kadhaa. KWA HABARI
ZAIDI NA PICHA ZA TUKIO HILI, tutazidi kuwafahamisha.
chanzo: Global PublishersBONGO NEWS 4 NEWS#
MUME WA IREEN UWOYA (NDIKUMANA), LUCY KOMBA LAIVU
LILE sakata la staa wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya kutuhumu
kumshika ugoni staa mwenzake aliyemtoa kwenye gemu, Lucy Francis Komba
limeingia sura nyingine kuafutia picha za filamu inayodaiwa kuchezwa na
wawili hao kunaswa na Ijumaa, twende hatua kwa hatua.
Katika baadhi ya matoleo ya Magazeti ya Global Publishers zilichapishwa habari za mastaa hao kuzua bifu zito kufuatia Lucy kumchukua mwanasoka wa Rwanda ambaye ni mume wa ndoa wa Uwoya, Hamad Ndikumana ‘Kataut’ na kucheza naye filamu jambo ambalo Uwoya alilipinga.
Katika baadhi ya matoleo ya Magazeti ya Global Publishers zilichapishwa habari za mastaa hao kuzua bifu zito kufuatia Lucy kumchukua mwanasoka wa Rwanda ambaye ni mume wa ndoa wa Uwoya, Hamad Ndikumana ‘Kataut’ na kucheza naye filamu jambo ambalo Uwoya alilipinga.
CHEKI MAPOKEZI YA POKELLON ALIPO REJEA NCHINI KWAO..
Baada ya kuwa evicted na kuaga rasmi shindano la Big brother the
chase,Qeen of swag Pokello Nare kutoka nchini Zimbabwe hatimaye atua
rasmi kwenye ardhi ya nchini kwao na kupata mapokezi ya nguvu katika
uwanja wa ndege wa kimataifa Harare.
Mke anayedaiwa kupanga kumuua mumewe kortini
Arusha.
Mwanamke anayedaiwa kupanga njama za kumuua mumewe wa
ndoa na mtoto wa mume huyo, amepandishwa mahakamani akiwa na mtuhumiwa
mwingine wa mauaji hayo.
HUYU NDIYE MWANAUME WA KWANZA AMBAYE HAJAWAI KUOGA WALA KUKATA NYWELE ZAKE ZAIDI YA MIAKA 37
HIVI NDIVYO PEPE GUADIOLA ALIVYOIFUNGA BARCELONA LEO,MESSI ATOLEWA ABORONGA,BAYER MUNICH SAFI.
Mwendo mzuri: Pep Guardiola ameifunga timu yake ya zamani, Barcelona |
KOCHA wa Bayern Munich, Pep Guardiola
ameifunga timu yake ya zamani, Barcelona mabao 2-0 katika mchezo wa
kirafiki mjini Munich leo.
Philipp Lahm alifunga bao la kwanza
dakika ya 14 na timu zikaenda kupumzika matokeo ya 1-0, kabla ya Bayern
kupata bao la pili dakika ya 87 lililofungwa Mario Mandzukic.
Kikosi cha Bayern Munich
kilikuwa: Neuer/Starke dk46, Rafinha, Dante/Van Buyten dk59, Boateng,
Alaba, Thiago, Lahm/Gustavo dk59, Kroos, Ribery, Robben/Shaqiri dk46 na
Muller/Mandzukic dk46.
Barcelona: Pinto/Oier
dk46, Montoya/Kiko dk46, Bartra/Gomez dk46, Mascherano/Planas dk46,
Adriano/Patric dk46, Song/Espinosa dk46, Sergi Roberto/Ilie dk46, Dos
Santos/Quintilla dk46, Tello/Joan Roman dk46, Messi/Dongou dk46 na
Alexis/Dani Nieto dk46.
Amefunga: Philip Lahm (katikati) alifunga bao la kwanza la Bayern Munich
SHILOLE MBARONI KWA WIZI WA SIMU ZA DIAMOND...
STAA wa filamu na muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’
ameingia matatani akidaiwa kuingia mitini na simu tatu za mkononi
alizoaminiwa nchini Afrika ya Kusini alikokwenda kufanya shoo.
Msanii huyo alikumbwa na kasheshe hilo Julai 19, 2013 nyumbani kwa
mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sinza Mori, Dar.
Siku
hiyo Diamond alikuwa akifuturisha na aliwaalika watu mbalimbali
wakiwemo mastaa lakini nusura futuru iingie doa kufuatia zogo hilo.
KIVAZI CHA ZUA BALAA KANI SANI.
“Maharusi wakati wa mafundisho ya ndoa tunawaambia kuhusu mavazi yao na hata ya ndugu zao watakaowasindikiza kanisani, kuwa wavae kistaarabu lakini hawasikii,
KIVAZI cha ndugu wa maharusi, kimesababisha patashika katika Kanisa
Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Peter, baada ya Paroko Msaidizi wa Kanisa
hilo, Padri Paulo Haule, kusitisha ibada mpaka mhusika atoke akavae
vizuri.
VIJANA WAUANA JIJINI MBEYA WAKIGOMBANIA PENZI LA MSICHANA.
Mnao tarehe 21/07/2012 majira ya saa 23:30hrs huko kijiji cha
Nkwangu wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, Seni s/o Sandu, miaka 20,
Msukuma, mkulima na mkazi wa Nkwangu aliuawa kwa kupigwa fimbo kichwani
na Tolo s/o Seko, miaka 20, Msukuma, mkulima na mkazi wa Nkwangu.
Chanzo ni ugomvi wa kumgombania msichana aitwaye Holo d/o Kulwa, miaka 16, Msukuma mkulima na mkazi wa Nkwangu.
HUYU NDIYE BILIONEA ALIYEMWAGIWA TINDIKALI.
MSHTUKO mkubwa ulijiri Jumamosi iliyopita, ikiwa ni baada ya kusambaa
kwa habari za kumwagiwa tindikali, mfanyabiashara mwenye ‘levo’ ya
ubilionea, Said Said Mohammed, 42, ambaye ndiye mmiliki na Mkurugenzi
Mkuu wa Home Shopping Centre.
Nje ya jengo la Msasani Mall ambapo Said Said Mohammed alimwagiwa tindikali. Katika jengo hili kuna maduka ya mfanyabiashara huyo.
Said ambaye kwa utambulisho mwingine anajulikana kama Said Mohammed Saad, alimwagiwa tindikali Ijumaa iliyopita, saa 2 usiku, lakini habari zake zikavuma Jumamosi, hivyo kuibua taharuki ya aina yake.
Nje ya jengo la Msasani Mall ambapo Said Said Mohammed alimwagiwa tindikali. Katika jengo hili kuna maduka ya mfanyabiashara huyo.
Said ambaye kwa utambulisho mwingine anajulikana kama Said Mohammed Saad, alimwagiwa tindikali Ijumaa iliyopita, saa 2 usiku, lakini habari zake zikavuma Jumamosi, hivyo kuibua taharuki ya aina yake.
FFU WAPINDUKA, MMOJA AFARIKI, WAKIENDA KUTEMBEZA KICHAPO.
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa kazini. (Picha na Maktaba Yetu)
ASKARI mmoja wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Mkoani
Kilimanjaro, Fidelis Mwaliyatabu, amefariki dunia papo hapo na wengine
tisa akiwamo Mkuu wa Kikosi hicho kujeruhiwa vibaya baada ya gari lao
kupinduka katika kijiji cha Kilingi, wilaya ya Siha, wakati wakienda
kuzima vurugu za wananchi.
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA JUU YA MSANII WA HIPHOP KIMBUNGA "KUMBAKA NA KUMLAWITI" MSANII WA BONGO FLAVA "LINAH"...LINAH NAE AZUNGUMZA
Kuna Taarifa ambazo zinasema Rapper Kimbuga ame mbaka mwanadada Linah wa
THT, na amefikishwa katika kituo cha Polisi cha Ostabey..
Taarifa hizo zimetolewa na Kala Pina kiongozi wa kundi la kikosi cha mizinga kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika hivii "
Taarifa hizo zimetolewa na Kala Pina kiongozi wa kundi la kikosi cha mizinga kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika hivii "
MUIGIZAJI SALMA JABU(NISHA) KUWAFUTARISHA MASHABIKI WAKE KESHO NYUMBANI KWAKE.
ENTERTAINMENT
,
MUIGIZAJI SALMA JABU(NISHA) KUWAFUTARISHA MASHABIK...
,
SALMA JABU (NISHA)
No comments
Mungu akuzidishie Nisha
BONGO NEWS 4 NEWS#
Mmiliki wa Home Shopping Centre amwagiwa tindikali usoni.
Dar es Salaam.
Mtu asiyejulikana juzi usiku alimvamia mmiliki wa
maduka ya Home Shopping Centre, Said Mohammed Saad (pichani) na
kumwagia maji usoni yanayodhaniwa kuwa ni tindikali.
Tukio hilo lililotokea juzi saa 1 usiku karibu na kituo cha Polisi cha Oysterbay, lilithibitishwa na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Ally Mlege kwa kusema kuwa bado polisi wanaendelea na uchunguzi wao ili kuwabaini waliohusika.
“Ni kweli tukio hili limetokea ila polisi
wanaendelea na uchunguzi. Tukikamilisha uchunguzi tunatarajia kutoa
taarifa kamili za tukio zima,” alisema na kuongeza;
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment