Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.
Showing posts with label LIFE STYLE. Show all posts

HII NDO NJIA RAHISI YA KUONDOA AU KUPUNGUZA KITAMBI, NI KUTOKA Flatbelly Tanzania

No comments


JIUNGE  NA  FLATBELLY TANZANIA
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  kwa  ushirikiano  mkubwa  na  Taasisi  ya  Flatbelly  Tanzania  wamedhamiria   kuwasaidia  wadada  kwa  wakaka  wanao  taka  kutengeneza  shape  za matumbo  yao   kwa  kuyafanya  kuwa  flat pamoja  na  watu  wote  wenye  nia  ya  kuondoa  vitambi  vyao, kupunguza  unene  na  uzito   kwa  njia  ya  tibalishe  na  mazoezi,  kuhakikisha  wanafikia  malengo  yao. Hili  litafanyika  kupitia  mradi  wa    Flatbelly   Project  unao  ratibiwa  na  Neema  Herbalist  kwa  kushirikiana  na    Flatbelly  Tanzania.
Programu   hii  inafanyika  kwa  lengo  la  kusogeza  huduma  zetu  kwa  wananchi  walio  wengi    kwa  urahisi  na  ukaribu  zaidi.  Kupitia  program  hii, tutahakikisha  kuwa, kila  memba  anaye  jiunga  na  program  anaya  fikia  malengo  yake   kwa  asilimia  mia  moja. Tutakuwa   tukiweka  picha  za    memba  kabla  na  baada  ya  kujiunga  na  program  ili  kuwaonyesha  watanzania  ni  kwa  namna  gani  tumedhamiria  kuimarisha  afya  za  watanzania  kupitia  program  hii. Gharama  za  kujiunga  na  programu  hii  ni  rahisi  sana  na  mtanzania  wa  rika  lolote  lile  anaweza  kujiunga.  Unapo chukua  uamuzi  wa  kuja kujiunga  na  programu  hii, unapaswa  kuwa  na  uhakika   kwamba   utayafikia  malengo  yako  kwa  asilimia  mia  moja.
 Kwa  wewe  unayetaka  kujiunga  na  program  hii, fika  katika  ofisi  zetu  zilizopo  jijini  Dar  Es  salaam, katika  eneo  la  Changanyikeni, karibu  na  Chuo  Cha  Takwimu, au  tuandikie  barua  pepe : neemaherbalist@gmail.com  au   tupigie   0766538384.
Kauli  mbiu  ya   program  hii  ni 
           “ FLATBELLY  IS  SEXY!
Kwa  maelezo  zaidi, tembelea 
  www.  neemaherbalist.blogspot.com
BONGO NEWS 4 NEWS#

UKWELI KUHUSU WANA WAKE WENYE MWANYA AU KIDOTI

No comments

Girls are the world’s forgotten population’: Nine facts about child brides

No comments
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, by citing the marriage she herself had fled. (Youtube)



A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, by citing the marriage she herself had fled. (Youtube)

AINA KUMI YA VYAKULA VINAVYOONGEZA UWEZO KATIKA TENDO LA NDOA

No comments


Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa karibu ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliana na tatizo hili. Aidha wanaume 6 kati ya 10 wanatajwa kulalamikia upungufu wa nguvu za kiume na kuacha idadi ya wanawake wanaokabiliwa na tatizo hilo kwa mujibu wa uchunguzi kubaki na asilimia 13.

Zivunje laana za kurithi ktk ngono na mapenzi

No comments
harusi-ndoa-wapenzi-couple 
Leo nataka tuongelee laana za kurithi..wengi tukifikia hapa tunajisahau kabisa haswa kwenye mambo ya ndoa na uzazi, wakati unataka kuolewa je unakuwa umevunja laana za ulipotoka?? na ulipo je umevunja laana za wazazi na mababu ambazo zimekuwa kwenye damu yako??? unajikuta mtu umepata mume unaolewa halafu mama yako hajawahi kuolewa 

HUJUI KUTONGOZA???...... SOMA HAPA NAMNA YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE

No comments



  Muda au Pesa Nyingi!"
   Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu. Kuna sanaa zingine za ushawishi kama vile ushawishi wa kibiashara ambapo lengo ni kuuza bidhaa. Na kuna ushawishi wa kisiasa ambapo lengo ni kupata kura.
   Wakati sanaa karibia zingine zote za ushawishi ni rahisi kujifunza, sanaa ya kutongoza watu wengi wanasema eti haifundishwi ... eti kila mwanaume anajua kutongoza.

MADHARA 6 YA KUPIGA PUNYETO KWA WANAUME

No comments
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….
Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.

Most Women Discover Cheating Boyfriend Through Snooping The Phone

No comments

Cheating
                Women snoope through boyfriend's phones Photo: Courtesy
By DAVID ODONGO
Going through your partner’s mobile phone tops the list among the most common ways a cheating spouse is discovered, a new American survey has shown.
Forty-one per cent of women will discover a cheating spouse through snooping through their mobile phones, the survey by US dating website OurTime said.
Going through your partner’s social media account is the second most favourite way to discover a cheating spouse at 23 per cent while going through file in a computer or tablets comes in third at 13 per cent.
Caught in the act comes in at number four with 11 per cent while being told by a friend that your partner is cheating comes in at number five.
Told by family member is number six at 3 per cent while confessing comes last at number seven with only 2 per cent.

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES