UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPA
Kundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro
Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajili ya onyesho hilo.
Wasanii hao 8 ni kati ya 12 watakaopanda katika jukwaa moja uwanja wa
Lake Tanganyika siku ya Jumamosi. Kundi la pili la wasanii ambao ni
Profesa Jay, Diamond, Lady Jaydee na Barnaba wanatarajiwa kuwasili siku
ya Jumamosi asubuhi.
Baada ya kupata mlo wa mchana ulioandaliwa na mwenyeji wao ambaye ni
Doctor Gerrard Mipango wasanii hao walipata nafasi ya kutembelea
makumbusho ya Doctor Livingistone yaliyoko Ujiji na kujionea historia
mbalimbali ya mzungu huyo anayetambuliwa kama mvumbuzi wa Ziwa
Tanganyika na pia kuona maeneo biashara ya utumwa ilipokuwa ikifanyika
na kujifunza kuhusu asili ya wenyeji wa Mkoa wa Kigoma.
Mwasiti, Ben Pol na Roma baada ya kutua uwanja wa ndege wa Kigoma
Fid Q, Kala Jeremiah na DJ Choka eneo la abiria waliowasili uwanja wa ndege
Fid Q akitoka nje ya uwanja wa ndege
Roma Mkatoliki akiondoka eneo la uwanja wa ndege
Recho akijielekeza kwenye usafiri kuelekea hotelini
Izzo Bizness akitoka uwanja wa ndege wa Kigoma
Mtoto wa Kigoma Linex alikuwa wa mwisho kutoka nje ya uwanja wa ndege wa Kigoma
Baada ya kufanya ziara wasanii walipata nafasi ya kufanya manunuzi katika soko la Kigoma
Wasanii wakipata mlo wa mchana nyumbani kwa Askofu Gerrard Mipango mjini Kigoma
Wakali wa muziki katika picha ya pamoja na wenyeji wao mkoani Kigoma
Wasanii wakiwa katika eneo la mbele ya makumbusho ya Doctor Livingstone
Wasanii wakimsikiliza mtaalam wa historia ya makumbusho ya Doctor Livingstone
Mtaalam wa historia akiwaonyesha wasanii mavazi ya wenyeji wa zamani wa mji wa Ujiji
Fid Q kama anajaribu kuwapatanisha Dr Livingstone na mwenzake.
Wakazi wa Kigoma wakiwaangalia wasanii wakati wakifanya manunuzi soko kuu la Kigoma
Muuzaji viatu akiwakaribisha wakali wa muziki kuangalia mzigo
Mashabiki hawa hawakutaka kupoteza nafasi ya kuonyesha upendo kwa Fid Q
Wasanii wakirejea kwenye basi lao ambalo lilikuwa limezongwa na mashabiki
Mwasiti katika picha ya pamoja na mashabiki waliomuomba
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment