MADHARA 6 YA KUPIGA PUNYETO KWA WANAUME
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.
Leo nitaongelea Hasara za kujichua au kujichezea kwa mwanaume.
HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME:
1. Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi.
Athari kubwa ya kupiga puri ni kuwa hupunguza kwa kiasi kikubwa hisia za mapenzi za mwanaume na kumfanya awe mtumwa sawa na mtumwa wa pombe.
2. Huathiri mfumo mzima wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu).
Hii inatokana na kweli kuwa mwili wako unakuwa umeuzoeza kutoa mbegu kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna kitu wanawake wanachukia kama kupizi mapema.
3.Humfanya mwanaume ashindwe kurudia ROUND YA PILI NA KUENDELEA....
Hakuna mwanaume anayeweza kujichua kwa round tatu mfululiza hapo hapo....Kwa kuwa mwili unakuwa umeuzoeza kupiga round moja tu,tena fasta,ndivyo itakavyo kuwa hata ukiwa na mpenzi wako.
Amini au usiamini.Ukweli ni kwaba hutaweza kurudia round kaka!!!...Vinginevyo upewe masaa kadhaa ya kupumzika.
4.Humfanya mwanaume kuwa MTUMWA wa kujichua.
Athari nyingine ya kujichua ni kuwa humfanya mwanaume awe mtumwa.Kama alizoea kupiga puri wakati wa kulala,au asubuhi, au mchana ni lazima afanye hivyo kila siku....Haijalishi yuko wapi.Hata angekuwa na wenzake,ni lazima atakimbilia hata chooni ili mradi afanye hivyo.
5.Humfanya mwanaume ashindwe kabisa kutoa bao.
Hii hutokea kwa mwanaume aliyezoea kupiga puri kwa miaka kadhaa.
Jamani,nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa VIDOLE ni tofaut kabisa na Njia ya uzazi wa mwanamke.Kwanza ni vigumu na havina maji maji.Hali hii humfanya mwanaume ashindwe kupizi au kusimamisha, na hilo ni tatizo.
Sasa inapotokea ukafanya mapenzi live baada ya kutoka katika kipindi kirefu cha kupiga puri,mwili hushindwa kuendana na mabadiliko hayo.
6 Ni rahisi kupatwa na maradhi kama KANSA YA KORODANI.Kwa kitaalamu inaitwa PROSTATE CANCER.
Gonjwa hili hushambulia mirija ya chini ya uume na huufanya mkojo kuwa na mrundikano mwingi wa damu.
S#
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment