Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

Archive

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

PHOTOS: Picha za “utata” za prodyuza Manaiki Sanga na wasanii wa kike zavuja

No comments

PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake chafu akiwa na wasichana wanaodaiwa ni wasanii wa filamu kusambaa mitandaoni huku wachangiaji wakisema ni udhalilishaji uliopitiliza, Risasi Jumamosi limezinasa.


Picha hizo mbalimbali zinamuonesha Manaiki na wasanii hao wakiwa katika mapozi tofauti huku wakiashiria kwamba walikuwa wanajua wanarekodiwa.
Baadhi ya picha zinamuonesha prodyuza huyo akiwa na msanii mmoja, tangu ana nguo zake zote kisha kuanza kuzivua moja baada ya nyingine hadi kubaki kama alivyozaliwa.
Matukio hayo yote yalifanyika ndani ya chumba kimoja ambacho haijajulikana kama ni hotelini, gesti au nyumbani kwa prodyuza huyo lakini hisia za macho zinasema ni sehemu ngeni na makazi yake.
Kumbukumbu za nyuma zinaibua mahojiano kati ya prodyuza huyo na mtangazaji wa redio moja ya jijini Dar, akiulizwa kuhusu taarifa kwamba amekuwa na tabia ya kupiga picha chafu ambapo majibu yake yalikuwa yakijigongagonga.
Ili kuupata ukweli wa picha hizo ambazo nyingi zinazua kichefuchefu kiasi cha kushindwa kutumika gazetini, juzi, Risasi Jumamosi lilimsaka Manaiki kwa njia ya simu ya mkononi ambapo alipopatikana na kusomewa mashitaka alisema:
“Mi sijui lolote bwana, wala sijaziona kwanza.”
Risasi: Yaani picha za kwako halafu unasema hujaziona, si ulipiga wewe?”
Manaiki: Kwani zimetapakaa kwenye mtandao gani?”
Alipotajiwa jina la mtandao mmoja tu kati ya mingi yenye picha hizo, prodyuza huyo alisema anamfahamu mmiliki wake hivyo atampigia simu muda si mrefu.
Baada ya nusu saa, Manaiki alipigiwa tena simu lengo likiwa kujua kama aliongea na mmiliki wa mtandao huo alisemaje, lakini simu iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa. 

CREDIT GLOBAL PUBLISHERS
BONGO NEWS 4 NEWS#

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES