Recent Posts

coments

HOT HEAD LINES

NEWS+HABARI-ZAIDI

ALL HERE DONE BY |

ALL HERE DONE BY |

**ADVERTISEMENT**

**ADVERTISE**

**ADVERTISE**

HAPPY BIRTH DAY

HAPPY BIRTH DAY
Powered by Blogger.

OBAMA AELEZA VIPAUMBELE VYA MAREKANI TANZANIA.

No comments

RAISI WA MAREKANI MH.BARACK OBAMA AKI KAGUA GWARIDE BAADA YAKU TUA TANZANI HIYO JANA.
Raisi wa Marekani Mh.Barack Oba alitua nchini jana kumalizia ziara yake ya nchi tatu za Africa aliyo ianzaia nchini Senegal kisha nchini South Africa nakuja kumalizia hapa nchini Tanzani.Raisi huyo aliye pokelewa na mwenyeji wake raisi wa Tanzania Mh.Jakaya Kikwete ali elekea moja kwa moja ikulu na kwenda kuzungumza  na wa andishi wa habari juu ya ziara yake hapa nchini.

      Mh.Barack Obama alisema kua moja ya nia ya ziara yake hapa nchini nikueneza uhusiano mzuri na nchi yake napia aka taja  vipau mbele vya nchi yake ya marekani hapa nchini.Vipau mbele hivo niku weza kuinua ajira kwa vijana,Kuboresha ni shati kama umeme, Maji napia miundo mbinu ya barabara.Alisema ali ainisha hayo walipo kua waki ongea na mwenyeji.Pia wali gusia mradi mkubwa wa POWER AFRICA ulio na lengo laku ongeza kiwango cha umeme kinacho zalishwa hapa Africa napia kuongeza uzalishaji ukiwamo wa ajira.
  Naku taja nchi zingine zitakazo nufaika na mradi huu kua nia Ghana,Nigeria,Ethiopia,Liberia na Kenya.
     waliongelea masuala mengi ikiwamo kukuza democrasia na utawala bora.
 Pia wali gusia secta ya utalii naku sema kua Tanzania ni nchi yenye sehemunyingi za utalii ila aka sema kua ame ambiwa ina kabiliwa na ujangili hivyo wata ongeza nguvu ili ku utokomeza ujangili huo.
 Raisi wa Tanzania alisema kua malengo ya milenia yame isaidia sana Tanzania.
  
 

No comments :

Post a Comment

Total Pageviews

About Us

Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.

Ads 468x60px

Blog Archive

Followers

IN ENTERTAINMENT

ADVERTISE MENT

**ADVERTISE MENT**

**ADVERTISE MENT**

VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )

TOP HEAD LINES