Zivunje laana za kurithi ktk ngono na mapenzi
Leo nataka tuongelee laana za kurithi..wengi tukifikia hapa
tunajisahau kabisa haswa kwenye mambo ya ndoa na uzazi, wakati unataka
kuolewa je unakuwa umevunja laana za ulipotoka?? na ulipo je umevunja
laana za wazazi na mababu ambazo zimekuwa kwenye damu yako??? unajikuta
mtu umepata mume unaolewa halafu mama yako hajawahi kuolewa
na babu yako
alioa wake watano wewe inakuweka wapi sawa unajihisi mwenyewe unabahati
lakini je kwanini watu wako nyuma hawakufurahia maisha ya ndoa????au
wewe mama yako alikuwa na baba yako akaachika akapata mwanaume mwengine
akaolewa na kwa huyo baba alikuwa mke wa pili na wewe mtoto wake umepata
mume unataka kuolewa umevunja laana???? au unaolewa na mwanaume ambaye
amelelewa na mama tu kwakuwa wazazi wake waliachana kwa sababu ya
umalaya, au uchawi je umevunja laana?????... ndoa nyingi zinakuwa
hazidumu sio tu kwa umalaya pia laana sasa kwenu nyie hamna hulka ya
kudumu kwenye ndoa, mama yako ndoa hana, kaka zako wameachika, dada zako
hawana ndoa wewe utaipataje na kudumu kwenye ndoa???? mama yako
alikuzaa wewe tu, mama yako mkubwa hajawahi kuzaa mjomba wako anawatoto
wawili tu wewe unaingia kwenye kwenye ndoa una mwaka wa tatu hujazaa
umevunja laana?? kwenu hakuna hata mtu aliyedumu kwenye ndoa leo wewe
umeolewa umezaa watoto je umewavunjia laana katika maisha yao maana
MUNGU alisema nitakulaani wewe na uzazi wako wote!!!jamani tunavunja
laana..mama yako alipata mimba akifanya umalaya humjui baba yako umalaya
ukakusomesha mpaka hapo ulipofikia na wewe unatafuta mume je umevunja
laana??? matatizo mengi sana tuliyonayo katika maisha yetu ni kwa sababu
ya laana tulizo ridhi kutoka wa mababu na wazazi wetu tujifunze kuvunja
laana ili tusihi kwa raha na kuweza kudumu katika ndoa pia tuheshimike
kwa jamii...
BONGO NEWS 4 NEWS#
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment