HII NDO NJIA RAHISI YA KUONDOA AU KUPUNGUZA KITAMBI, NI KUTOKA Flatbelly Tanzania
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic kwa ushirikiano mkubwa na Taasisi ya Flatbelly Tanzania wamedhamiria kuwasaidia wadada kwa wakaka wanao taka kutengeneza shape za matumbo yao kwa kuyafanya kuwa flat pamoja na watu wote wenye nia ya kuondoa vitambi vyao, kupunguza unene na uzito kwa njia ya tibalishe na mazoezi, kuhakikisha wanafikia malengo yao. Hili litafanyika kupitia mradi wa Flatbelly Project unao ratibiwa na Neema Herbalist kwa kushirikiana na Flatbelly Tanzania.
Programu hii inafanyika kwa lengo la kusogeza huduma zetu kwa wananchi walio wengi kwa urahisi na ukaribu zaidi. Kupitia program hii, tutahakikisha kuwa, kila memba anaye jiunga na program anaya fikia malengo yake kwa asilimia mia moja. Tutakuwa tukiweka picha za memba kabla na baada ya kujiunga na program ili kuwaonyesha watanzania ni kwa namna gani tumedhamiria kuimarisha afya za watanzania kupitia program hii. Gharama za kujiunga na programu hii ni rahisi sana na mtanzania wa rika lolote lile anaweza kujiunga. Unapo chukua uamuzi wa kuja kujiunga na programu hii, unapaswa kuwa na uhakika kwamba utayafikia malengo yako kwa asilimia mia moja.
Kwa wewe unayetaka kujiunga na program hii, fika katika ofisi zetu zilizopo jijini Dar Es salaam, katika eneo la Changanyikeni, karibu na Chuo Cha Takwimu, au tuandikie barua pepe : neemaherbalist@gmail.com au tupigie 0766538384.
Kauli mbiu ya program hii ni
“ FLATBELLY IS SEXY!
Kwa maelezo zaidi, tembelea
www. neemaherbalist.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
A still from the video in which Yemeni girl Nada Al-Ahdal pleaded with parents not to arrange marriages for their young children, b...
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
-
UMEONA PICHA ZA WASANII WATAOTUMBUIZA KIGOMA KATIKA KILL TOUR WALIPOWASILI KIGOMA? BASI ZICHEKI HAPAKundi la kwanza la wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2013 limewasili mkoani Kigoma kwa ajil...
-
Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison Mwakyembe amemtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro Mangunga, lakini mshuki...
No comments :
Post a Comment