Wanawake
watatu wamekamatwa kwa madai ya kujaribu kusafirisha dawa za kulevya
kupitia uwanja wa ndege wakiwa wamevalia kama masista.
Wasafirishaji
hao walisimamishwa wakati wakiwasili kwenye kituo maarufu cha mapumziko
nchini Colombia, sababu polisi walifikiri kwamba mavazi yao hayakuwa
yakionekana halisia.
Maofisa waligundua kwamba kila mwanamke kati yao alikuwa na zaidi ya kilo 4 za cocaine zikiwa zimefungwa katika miguu yake.

BAADA ya kukamatwa na dawa za kulevya nchini Afrika Kusini, msanii
anayeshiriki katika video za wasanii wa muziki wa bongo fleva, Agnes
Jerald 'Masogange' na mwenzake Melisa Edward, ukweli umeibainika kwamba
dawa walizokamatwa nazo ni za kutengenezea dawa za kulevya, ambazo
hazipatikani nchini na hazina matumizi yoyote.
Shemeji yetu Mbotswana, Oneal amechukizwa na kitendo cha Feza Kessy kwenda kuoga na mwanaume mwingine.
MAAJABU yameibuka kwenye mazishi ya baba mzazi wa Mtangazaji wa Kipindi
cha Wanawake Live kinachorushwa hewani na Televisheni ya East Africa,
Joyce Kiria, Michael Francis Iwambo Kiria kufuatia kuchimbwa kwa
makaburi mawili, Amani lina mkasa mzima.
Kondoo akichinjwa.
Tukio hilo la ajabu lilitokea kwenye msiba wa mzee huyo, Kata ya
Kibosho, Kijiji cha Dakau, mkoani Kilimanjaro wakati wa maandalizi ya
kuuhifadhi mwili wa merehemu huyo.
Raia wa Afrika Kusini akiwa na bango la kumtakia kheri ya siku ya
kuzaliwa kwa Rais Mstaafu wa nchi hiyo, mjini Polokwane nchini humo.
Picha na Mtandao
Kwa ufupi
Siku ya Mandela huadhimishwa kuenzi kazi za kiongozi
huyo alizozifanya kwa miaka 67 akiutumikia umma wa wananchi wa Afrika
Kusini, zikiwamo vita dhidi ya ubaguzi wa rangi na hatimaye kuwa Rais wa
kwanza mzalendo kwa miaka mitano, kisha kustaafu.
Ama kweli ustaa kazi! Mrembo Wema Sepetu kakumbwa na kasheshe kutoka kwa
mashabiki wake baada ya kutupia picha instagram akiwa kapozi na wengine
kuanza kumlaumu kutokana na mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Japo
alijitetea na kusema picha hizi alipiga kabla ya mwezi huu wengine hata
hawakumuelewa! Cheki hapo chini..
KUSHOTO:
John Eccles baada ya kuondolewa sehemu ya fuvu lake. KATIKATI: Eccles
akiwa hospitali baada ya kufanyiwa upasuaji wa fuvu lake. KULIA: Andrew
Dodds.
Kupitia
Kipindi cha Redio cha clouds fm U heard ya jana, inasemekana msanii Mr
Blue amrubuni mfanya usafi wa hoteli inayoitwa Chriss, iliyoko
Tarime, baada ya kuzuiwa kwa mabegi yake kwa kushindwa kulipa deni la
shilingi elfu 40,000, inasemekana Mr Blue aliamua kucheza dili na
mfanya usafi ili aende akamtolee mabegi yake na kumpa mtonyo kidogo,
ambae alifanya hivyo na Blue kufanikiwa kuondoka bila kulipa deni
hilo, kitu kilichosababisha mfanya usafi huyo kufukuzwa kazi.....
Huyu ndiyo mtu tajiri sana kuwahi kutokea duniani.. unajua alikuwa na utajiri kiasi gani?
John Davison Rockefeller ndiyo mtu tajiri
sana katika historia ya dunia hadi leo, unaambiwa utajiri wake
ukifananisha na hawa matajiri wa karne hii amewaacha mbali kupita kiasi,
ukichukua utajiri wa Bill Gates na Carlos Slim ambao wote kwa pamoja
wana utajiri wa billioni 140 bado hawatafikia hata nusu ya utajiri
aliowahi kuwa nao huyu jamaa.
Kirawira Luxury Tented Camp – Arusha
Diamonds Star of the East

Dj Pq, (Peter Chasama) kutoka Clouds Media Group, anatarajiwa kupiga
ndani ya Big Brother House nchini South Africa, mwaka huu, ambapo
atapiga siku ya jumamosi (20) kuwapa shangwe housemates
Dj Pq aliwahi kufanya kazi na kipindi cha XXL Clouds Fm, lakini kwasasa
unamuona kupitia kipindi cha Cloud 9 kupitia Clouds Tv akiwa na DeeAndy.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Ofisa Kadet D.G.L. Wong- Pool
toka Visiwa vya Ushelisheli kwa kuibuka mwanafunzi bora wa kigeni wa
jumla mwaka huu katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli,
Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ leo Julai 13.
Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na
kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa
vya Shelisheli
BONGO NEWS 4 NEWS#
Girlfiend wa Rapper Ney wa Mitego "Siwema" ambae alikuwa na ujauzito wa
Rapper huyo, bad news ni kuwa mimba hiyo imetoka mara baada ya kuanguka
akiwa bafuni baada ya kusikia kizunguzungu. Ney wa Mitego ameeleza kisa
kilivyotokea.
Baada ya walinda amani saba wa Tanzania kuuawa na watu waliokuwa
wamejihami eneo la Darfur mwishoni wa wiki, na wengine wengi kujeruhiwa
na baadhi wakiwa mahututi, Tanzania imependekeza kufanyiwa marekebisho
sheria ya kulinda amani ya UN, ili kujikinga na mashambulizi.
Huenda Jay (mtoto wa kiume wa Feza Kessy) anaweza kupata wadogo zake
wa kucheza nao soon. Hiyo ni kutokana na mama yake anayeiwakilisha
Tanzania mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’
kumwambia mchumba wake raia wa Botswana, Oneal kuwa angependa azae naye
watoto.
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
MUZIKI ni kazi, mataifa mengi, hususan katika mabara ya Ulaya na Amerika Kaskazini, ume...
-
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako hur...
-
-
-
-
-
Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2013/2014) sasa utafungwa Jumatatu (Agosti 5 mwaka huu) badala ya Agosti 3 mwa...
No comments :
Post a Comment