PHOTOS: Picha za “utata” za prodyuza Manaiki Sanga na wasanii wa kike zavuja

PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake chafu akiwa na wasichana wanaodaiwa ni wasanii wa filamu kusambaa mitandaoni huku wachangiaji wakisema ni udhalilishaji uliopitiliza, Risasi Jumamosi limezinasa.
Picha
hizo mbalimbali zinamuonesha Manaiki na wasanii hao wakiwa katika
mapozi tofauti huku wakiashiria kwamba walikuwa wanajua wanarekodiwa.Baadhi ya picha zinamuonesha prodyuza huyo akiwa na msanii mmoja, tangu ana nguo zake zote kisha kuanza kuzivua moja baada ya nyingine hadi kubaki kama alivyozaliwa.
Matukio
hayo yote yalifanyika ndani ya chumba kimoja ambacho haijajulikana kama
ni hotelini, gesti au nyumbani kwa prodyuza huyo lakini hisia za macho
zinasema ni sehemu ngeni na makazi yake.Kumbukumbu za nyuma zinaibua mahojiano kati ya prodyuza huyo na mtangazaji wa redio moja ya jijini Dar, akiulizwa kuhusu taarifa kwamba amekuwa na tabia ya kupiga picha chafu ambapo majibu yake yalikuwa yakijigongagonga.
Ili
kuupata ukweli wa picha hizo ambazo nyingi zinazua kichefuchefu kiasi
cha kushindwa kutumika gazetini, juzi, Risasi Jumamosi lilimsaka Manaiki
kwa njia ya simu ya mkononi ambapo alipopatikana na kusomewa mashitaka
alisema:“Mi sijui lolote bwana, wala sijaziona kwanza.”
Risasi: Yaani picha za kwako halafu unasema hujaziona, si ulipiga wewe?”Manaiki: Kwani zimetapakaa kwenye mtandao gani?”
Alipotajiwa jina la mtandao mmoja tu kati ya mingi yenye picha hizo, prodyuza huyo alisema anamfahamu mmiliki wake hivyo atampigia simu muda si mrefu.
Baada
ya nusu saa, Manaiki alipigiwa tena simu lengo likiwa kujua kama
aliongea na mmiliki wa mtandao huo alisemaje, lakini simu iliita kwa
muda mrefu bila kupokelewa. 




BONGO NEWS 4 NEWS#
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Total Pageviews
About Us
Spice Mag - Premium free blogger template developed by spicytricks.com.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Maecenas hendrerit iaculis nunc. Curabitur in eros ipsum. Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Duis at mi justo, non suscipit elit. Nunc aliquam luctus adipiscing. Nullam sit amet lacus vitae odio congue mollis eu non magna. Duis sed arcu a libero adipiscing rhoncus. Aliquam erat volutpat. Suspendisse sed nunc metus, sed aliquet arcu.
Recent Posts
Ads 468x60px
Blog Archive
Followers
IN ENTERTAINMENT
ADVERTISE MENT
**ADVERTISE MENT**
Pages
VIDEO OFTHE DAY (Diamond Platnumz - Number One (Official Video Music) )
STAR VOTE
TOP HEAD LINES
-
Muda au Pesa Nyingi!" Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu...
-
PRODYUZA mkali Bongo, Manaiki Sanga amekumbwa na skendo ya aibu kufuatia picha zake ...
-
MUZIKI ni kazi, mataifa mengi, hususan katika mabara ya Ulaya na Amerika Kaskazini, ume...
-
Millard Afrael Ayo alizaliwa Arusha January 26 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mme...
-
Tanzanian Housemate Feza has become the 20th Housemate to be booted out of The Chase

No comments :
Post a Comment